Oct 27, 2009

JOUNARNALIST

Mimi ni Elieth Joseph, natoka Karagwe kagera Tanzania. Ni mtangazaji wa Radio Fadeco Fm, pia ni mwandaaji wa kipindi cha Jukwaa la Wanawake na vipindi vingine katika Radio Fadeco ambayo ni Radio ya jamii, iliyoko katika wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagera.

Niko hapa Mwanza kwa ajili ya mafunzo kwa waandishi wa habari kwa kutumia internet katika mawasiliano hasa kwenye vyombo vya habari. Na kuona ni jinsi gani internate inaweza kuisaidiaje jamii.

Ni matumaini yangu kuwa nitanufaika na mafunzo haya, na hapo baadae yataweza kunisaidia katika shughuli zangu za kuendeleza jamii kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment