Oct 28, 2009

ELIETH SEKIKU

Elieth Sekiku mimi mmojawapo aliyehudhuria mafunzo ya waandishi wa habari kwa kutumia Internat katika mawasiliano hasa kwenye vyombo vya habari na kuona ni jinsi gani internat inaweza kusaidiaje jamii..

Bw peik amesema kuwa ni vizuri mwandishi wa habari kutumia internet kila siku, ambapo tumesearch mambo mbalimbali kwa kutumia google, akiwemo kila aina za magazeti, na baadae tukawa tumefanya assigm kwa kutumia google.

Ambapo ilikuwa ni, journalistc reseach via Internete assignment ilikuwa ni mji mkuu wa Burkinafaso ambao imeonekana kuwa ni Ouagadougou, mji mkuu wa Honduras ambao ni Gasiglaipa na tukasearch population of Finland, Ruvuma. Pia kuona ni nani rais wa Namibia, rais wa Bolivia na kuona more about the background of the Bolivia.

Haya yote ni kutumia mtandao wa internet kwa google bila internet haiwezekani.

No comments:

Post a Comment