Oct 29, 2009

ELIETH SEKIKU

27-10-09

Elieth Sekiku mimi mmojawapo aliyehudhuria mafunzo ya waandishi wa habari kwa kutumia Internat katika mawasiliano hasa kwenye vyombo vya habari na kuona ni jinsi gani internat inaweza kusaidiaje jamii..

Bw. Peik Johnsson kutoka Finland ameweza kunifundisha kwa siku ya leo mambo mbalimbali, mojawapo kujua jinsi ya kublog ambapo unaweza kuandika ujumbe wako na kuutuma, pia ameweza kufundisha juu ya kutumia google kwa mambo mbalimbali, mojawapo ni kutumia google kutafuta bei za bidhaa mbalimbali, kutafuta picha, ramani, watu wenye wadhifa mbalimbali.

Katika mafunzo haya nimeweza kujua mambo mbalimbali kupitia google ambayo nilikuwa siyajui na nitazidi kujielimisha kwa kutumia internet niweze kujiendeleza zaidi

Imeonekana kuwa, google kwa siku inatumiwa na watu zaidi ya 1.5 billion na zaidi ya watu 400 million watumia yahoo mail kwa siku. Hii inaonyesha kuwa watu wanajua umuhimu wa mambo juu ya mawasiliano.

No comments:

Post a Comment